drill ndogo – kazi kubwa! chimba na funga bila waya, popote ulipo
drill ndogo – kazi kubwa! chimba na funga bila waya, popote ulipo
Usidharau ukubwa! Hii 16V Cordless Drill ndogo ni mashine kamili kwa mafundi na watumiaji wa kawaida wanaotaka ufanisi, kasi, na uhuru wa kufanya kazi bila kizuizi cha waya.
Inafaa kwa kuchimba, kufunga, kusafisha na kazi ndogondogo za kila siku.
Faida Muhimu:
-
Bila waya – tembea nayo kazini, site au hata nyumbani.
-
Nguvu ya 16V – hutoa uwezo mkubwa wa kazi hata kama ni ndogo kwa umbo.
-
Muundo unaofaa mkononi – ni rahisi kubeba, haitochosha mikono.
-
Inakuja na vifaa vya ziada – brush na bits kwa matumizi tofauti tofauti.
-
Betri ya kuchaji – haitegemei umeme wa moja kwa moja.
Bei: Tsh 120,000 tu!
Agiza Sasa Kupitia WhatsApp: 0757471618
Tumia nguvu ndogo kupata matokeo makubwa – Jipatie Drill Ndogo Leo! -